Binti mbunge Hana-Rawhiti Maipi-Clarke, Ujasiri na uthubutu wake ni A+ (2024)

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,357
118,801
  • Nov 22, 2024
  • #1

Binti mbunge Hana-Rawhiti Maipi-Clarke, Ujasiri na uthubutu wake ni A+ (2)

Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+.

Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika hatua ya kuupinga muswada mpya ambao unafasili misingi ya mkataba kati ya jamii ya Maori [jamii atokayo] na Wakoloni wa Kiingereza, alianza kuimba na kucheza wimbo wa “Ka Mate” huku akiichana na kuitupa karatasi ambayo muswada huo ulikuwa umeandikwa.

Wamaori wenzie ndani ya bunge nao walimuunga mkono kwa kuanza kuimba na kucheza Haka.

Wow! Ni binti wa 2002.

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
14,874
25,479
  • Nov 22, 2024
  • #2

Watanzania tumevuka level ya ukabila na umaeneo

Mnyenz

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
1,980
6,043
  • Nov 22, 2024
  • #3

Ni utoto tu, akikua ataacha.

Hata hapa bongo, kuna wabunge waliingiaga bungeni wakiwa watoto, walipofika huko walitukana na wengine kutaka kuzipanga.

Ila leo hii ukiwapa mic wanaongea fact na wanabishana kwa hoja

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,357
118,801
  • Nov 22, 2024
  • Thread starter
  • #4

Mnyenz said:

Itapendeza iwapo siku moja mbunge acheze sindimba bungeni 🤣.

Mohammed Khatibu

JF-Expert Member
Jun 28, 2018
1,146
1,547
  • Nov 22, 2024
  • #5

Mambele watu wanajitambua mapema sana, mtoto wa miaka 14 tu tayar ana self-esteem ya kutosha...!

  • Nov 22, 2024
  • #6

Huyu si mara yake ya kwanza kuruka ruka bungeni kwa Ka Mate. Hawa wanataka kuwa na exclusive rights na tayari wanazo ila bado wanataka zaidi. Yani sheria tofauti na jamii nyingine, wawe na exclusive rights za kuvua na almost kila kitu kwa kudai wao ndio wa asili na wengine wavamizi.

Jamii zilizobaki zinadai haiwezekani kuwe na sheria mbili mbili kwa jamii moja kuwa na sheria zenye upendeleo kwake dhidi ya jamii nyingine.

Wanadai pamoja hawa kupewa upendeleo, jamii nyingine ikiwa ni pamoja na wahamiaji, wanakuja, wanafanikiwa huku hawa wakiendelea kuwa vile vile kwa sababu wao hata hawaweki mkazo kwenye elimu na wanaona wanaohamia wakafanikiwa basi wanawaibia wao.

D

digodigo

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
289
244
  • Nov 22, 2024
  • #7

''The bill eventually passed its first reading amid the protest''

M

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
4,914
8,007
  • Nov 22, 2024
  • #8

Nyani Ngabu said:

Itapendeza iwapo siku moja mbunge acheze sindimba bungeni 🤣.

Mimi nadhani asome Qur'an aya zinazoungumzia utoaji wa haki kwa watunga sheria na wenye mamlaka. Hii itasaidia, kucheza sindimba watu watacheka itaisha

M

mdogoye

JF-Expert Member
Sep 9, 2024
548
1,210
  • Nov 22, 2024
  • #9

Awa UK waacha kukoloni maeneo ya watu wawe na Aibu kwanza wamewauwa sana awa wenyeji afu bado wanang.ang.ania!!! Na ukweli kitendo kile ndicho kinawafanya wakatae kuwa chini y UK kivyovyote awataki. Mmeuwa kizaz chao na bado mpo apo tutawaamini vipi!!!

M

mdogoye

JF-Expert Member
Sep 9, 2024
548
1,210
  • Nov 22, 2024
  • #10

Awa UK waacha kukoloni maeneo ya watu wawe na Aibu kwanza wamewauwa sana awa wenyeji afu bado wanang.ang.ania!!! Na ukweli kitendo kile ndicho kinawafanya wakatae kuwa chini y UK kivyovyote awataki. Mmeuwa kizaz chao na bado mpo apo tutawaamini vipi kenge maji wakubwa.

Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
10,069
11,443
  • Nov 22, 2024
  • #11

Nyani Ngabu said:

Itapendeza iwapo siku moja mbunge acheze sindimba bungeni 🤣.

Wapo mpaka wanaoruka sakarakasi hapa Tz.

zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
19,829
30,257
  • Nov 22, 2024
  • #12

Nyani Ngabu said:

Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika hatua ya kuupinga muswada mpya ambao unafasili misingi ya mkataba kati ya jamii ya Maori [jamii atokayo] na Wakoloni wa Kiingereza, alianza kuimba na kucheza wimbo wa “Ka Mate” huku akiichana na kuitupa karatasi ambayo muswada huo ulikuwa umeandikwa.

Kwamba ni makini kisa kupiga makelele, we utakua typical democrat mnapenda woke and cancel culture ila hao hawana hoja yaani wanataka exclusive treatment kuliko jamii zingine kwani how special are they?

Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
11,934
24,589
  • Nov 22, 2024
  • #13

Kapeleka vurugu tu bungeni.

Bufa

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
11,934
24,589
  • Nov 22, 2024
  • #14

Malaria 2 said:

Mimi nadhani asome Qur'an aya zinazoungumzia utoaji wa haki kwa watunga sheria na wenye mamlaka. Hii itasaidia, kucheza sindimba watu watacheka itaisha

Wabunge/mawaziri wote wanaapa kwa hivyo vitabu vya dini sijui wamewafikisha wapi hadi leo.

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,357
118,801
  • Nov 22, 2024
  • Thread starter
  • #15

zitto junior said:

Kwamba ni makini kisa kupiga makelele, we utakua typical democrat mnapenda woke and cancel culture ila hao hawana hoja yaani wanataka exclusive treatment kuliko jamii zingine kwani how special are they?

Nimesema ni makini?

Halafu you are dumb AF!

Mimi na woke culture wapi na wapi?

Fellate me….

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,357
118,801
  • Nov 22, 2024
  • Thread starter
  • #16

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
1,190
1,652
  • Nov 22, 2024
  • #17

Nyani Ngabu said:

View attachment 3158346

Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+.

Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika hatua ya kuupinga muswada mpya ambao unafasili misingi ya mkataba kati ya jamii ya Maori [jamii atokayo] na Wakoloni wa Kiingereza, alianza kuimba na kucheza wimbo wa “Ka Mate” huku akiichana na kuitupa karatasi ambayo muswada huo ulikuwa umeandikwa.

Wamaori wenzie ndani ya bunge nao walimuunga mkono kwa kuanza kuimba na kucheza Haka.

Wow! Ni binti wa 2002.

Kwa nchi yenu unamuona jasiri kwasababu mmekaririshwa kuwa viongoz wenu miungu watu. Hawapingwi. Ila nchi za huko wanaojielewa kupinga mswada au hata kuchana makaratasi yake au kumpinga kiongoz hadharani ni kitu cha kawaida. Angalia mwez uliooita Mbunge wa Australia alivyomchana na kumkashifu king charles wa Uingereza alioenda Australia.. Kamwambia ufalme wako peleka kwenu mlitesa watu mlipotawala. Pia angalia Youtube speaker wa US kipindi hicho anachana hotuba ya trump mbele yake alipomkabidhi.

Je jiulize kuna mbunge wenu anaweza kumchana King charles akija Bongo.

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,357
118,801
  • Nov 22, 2024
  • Thread starter
  • #18

Fredwash said:

Kwa nchi yenu unamuona jasiri kwasababu mmekaririshwa kuwa viongoz wenu miungu watu. Hawapingwi. Ila nchi za huko wanaojielewa kupinga mswada au hata kuchana makaratasi yake au kumpinga kiongoz hadharani ni kitu cha kawaida. Angalia mwez uliooita Mbunge wa Australia alivyomchana na kumkashifu king charles wa Uingereza alioenda Australia.. Kamwambia ufalme wako peleka kwenu mlitesa watu mlipotawala. Pia angalia Youtube speaker wa US kipindi hicho anachana hotuba ya trump mbele yake alipomkabidhi.

Je jiulize kuna mbunge wenu anaweza kumchana King charles akija Bongo.

Hapana.

Hata huko kwao na kwingineko kapongezwa kwa uthubutu wake na ndo maana kawa/ kaenda viral.

View: https://youtu.be/bKDSqsDQR2I?si=4-SLQ3TChneORoUP

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
10,244
15,601
  • Nov 22, 2024
  • #19

Nyani Ngabu said:

View attachment 3158346

Huyu binti kanivutia sana. Ni mbunge huko New Zealand. Ndo mbunge mwenye umri mdogo kwenye bunge la nchi hiyo. Ujasiri na uthubutu wake ni A+.

Wiki iliyopita, mnamo tarehe 14 Novemba, katika hatua ya kuupinga muswada mpya ambao unafasili misingi ya mkataba kati ya jamii ya Maori [jamii atokayo] na Wakoloni wa Kiingereza, alianza kuimba na kucheza wimbo wa “Ka Mate” huku akiichana na kuitupa karatasi ambayo muswada huo ulikuwa umeandikwa.

Wamaori wenzie ndani ya bunge nao walimuunga mkono kwa kuanza kuimba na kucheza Haka.

Wow! Ni binti wa 2002.

Brilliant

S

saiko

JF-Expert Member
Sep 9, 2024
303
367
  • Saturday at 6:57 AM
  • #20

chiembe said:

Watanzania tumevuka level ya ukabila na umaeneo

Uko ofisi gani ta serikali utudhitishie hili na ss tukupe vivid ongoing example yanyofanyika modusini against tribal and religious differences

You must log in or register to reply here.

Binti mbunge Hana-Rawhiti Maipi-Clarke, Ujasiri na uthubutu wake ni A+ (2024)
Top Articles
Latest Posts
Recommended Articles
Article information

Author: Melvina Ondricka

Last Updated:

Views: 6383

Rating: 4.8 / 5 (48 voted)

Reviews: 95% of readers found this page helpful

Author information

Name: Melvina Ondricka

Birthday: 2000-12-23

Address: Suite 382 139 Shaniqua Locks, Paulaborough, UT 90498

Phone: +636383657021

Job: Dynamic Government Specialist

Hobby: Kite flying, Watching movies, Knitting, Model building, Reading, Wood carving, Paintball

Introduction: My name is Melvina Ondricka, I am a helpful, fancy, friendly, innocent, outstanding, courageous, thoughtful person who loves writing and wants to share my knowledge and understanding with you.